Paperback

Msichana Anayeweza (Swahili Edition)

by Miss Martha Lumatete

Sh 35,000

Out of stock

Out of stock

FREE Delivery for orders above Tsh 100k within Tanzania. T & C Apply.

Standard Delivery (Tsh 2,000 - Tsh 10,000) depending on your location.

Book picture is for illustrative purposes only, actual binding, cover or edition may vary.

Msichana Anayeweza (Swahili Edition) by Miss Martha Lumatete Martha ni muoga. Anahitaji kuzoeana na marafiki zake darasani, lakini hiyo sivyo namna alivyo. Anataka kuwa shujaa, na mwenye ujasiri lakini hafahamu nini cha kufanya. Baada ya ajali ya kuaibisha, Martha anapitia safari ya kuvutia, kwa msaada wa wazazi wake, waalimu na familia, Martha anajifunza umuhimu wa kujieleza mwenyewe na kwanini ni muhimu kufanya hivyo.   Hiki ni kitabu kizuri cha kuchorwa kinafungua ulimwengu kwa watoto kutafuta kinachowasukuma ndani mwao, huku wakijifunza somo kuu la maisha njiani.

Customers Who Bought This Item Also Bought ...