Paperback

Roho Ya Paka

by Ben R. Mtobwa

Sh 25,000

FREE Delivery for orders above Tsh 100k within Tanzania. T & C Apply.

Standard Delivery (Tsh 2,000 - Tsh 10,000) depending on your location.

Book picture is for illustrative purposes only, actual binding, cover or edition may vary.

Roho Ya Paka na Ben Mtobwa Inspekta Kombora anaitwa katika hoteli moja jijini Dar es Salaam ambapo anaonyeshwa mwili wa msichana aliyeuawa kikatili kupita kiasi. Ngozi na nyama ya uso wake mzima na sehemu ya shingo zimeliwa na aina fulani ya sumu na kufanya sura yake ibakie kuwa fuvu la kutisha. Katika kinywa cha fuvu hilo, uliwekwa ujumbe kwa maandishi uliosomeka: Tunamtaka Joram Kiango. Salamu zinamfikia Joram kwa namna nyingine. zikifuatiwa na patashika nzito, roho mkononi, huku watu wengi walio na wasio na hatia wakipoteza roho zao. Lakini ni roho ya Joram Kiango iliyohitajika, kwa udi na uvumba. Naye, akijua kuwa anapambana na mbogo waliojeruhiwa, alichukua tahadhari zote kutopoteza uhai mithili ya paka. Hata roho yake pia inabadilika na kuwa Roho ya Paka.

Customers Who Bought This Item Also Bought ...