Hardcover

Historia na Falsafa ya Mwenge wa Uhuru

by Job M. Lusinde

Sh 40,000

FREE Delivery for orders above Tsh 100k within Tanzania. T & C Apply.

Standard Delivery (Tsh 2,000 - Tsh 10,000) depending on your location.

Book picture is for illustrative purposes only, actual binding, cover or edition may vary.

“Nilipoombwa na Mwandishi wa Kitabu hiki…nilikubali bila kusita kwa sababu nilitambua kwamba maudhui vake vana manufaa makubwa sana kwa taifa let ambalo wat wake wamedhamiria kwa dhati kudumisha uhuru, umoja, haki, usawa, upendo na heshima kwa watu woe. “Ninampongeza sana Mwandishi wa kitabu hiki, Mzee wetu Balozi Job Lusinde, kwa kutukumbusha sisi viongozi na watanzania kwa ujumla kuhusu wajibu wetu wa kujifunza Historia ya Taifa let na mchango wa waasisi wake kupitia Historia na Falsafa ya Mwenge wa Uhuru.” – John Pombe Magufuli Kuhusu Mwandishi Balozi Mzee Job Lusinde ni miongoni mwa Viongozi wa kisiasa waliotoa mchango mkubwa sana katika harakati za ujenzi wa taifa la Tanzania na Maendeleo ya watu ndani na nje ya Tanzania. Pamoja na kuwa Waziri katika baraza la Mawaziri la kwanza mara baada ya Uhuru wa Tanganyika, Balozi Lusinde amewahi kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa Bodi katika mashirika mbalimbali ya umma likiwemo Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).

Customers Who Bought This Item Also Bought ...